Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 21, 2020

SOMO; NYAMAZA

✍️✍️✍️SOMO; NYAMAZA TUNAMSHUKURU Mungu kwa Neema Zake na Rehema Leo hii Tumekutana Tena Katika Kukumbushana nakufundishana Neno la Mungu Leo Tunajifunza Neno Nyamaza ✍️✍️ 🗨️🗨️Vitabu:Kutoka:14:12-20✍️ ISAYA;36;21✍️42;14✍️Amosi:5;13✍️✍️Zaburi:39;5-10✍️Mithali;17;28. ✍️✍️✍️🙏 UTANGULIZI 🙏🙏✍️🙏 Hata Mpumbavu akinyamaza Asikujibu akaa Kimya huitwa mwenye hekima Lakini mtu mwenye hekima Anaweza akaitwa mpumbavu kwa kuwa tu ajui kunyamaza Anajua kujibishana Tu Anakinywa Ambacho hakiwezi kukaa Kimya Yeye Anaweza kuongea na kupinga kelele mpaka majirani wanakuwa Sasa mpaka wanamchoka. Kumbe jibu la kunyamaza na kukaa Kimya huwa siraha tosha kwa mwenye Hekima. 👉👉 NYAMAZA WE ADUI Kuna Wakati Tunapaswa Tuvinyamazishe Kila mago...