Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 22, 2020

Sms Za Kuepuka usimtumie mmeo

✍️✍️SOMO; MWANAMKE SMS AMBAZO HUPASWI UMTUMIE MWANAMME WALA MPENZI WAKO UKIJARIBU NI SUMU KWAKO. Mithali;14;1 Mithali;16;1-5 Isaya;58;12 ✍️✍️DARASA LA WANANDOA ✍️✍️MWAL; PASTOR RICHARD ✍️✍️SIMU;+255759861768 👊👊👊 KARIBUNI KATIKA DARASA LA WANANDOA TUNAELIMISHANA NA TUWEZE KUJENGA NDOA ZETU NAKUFANYA NDOA ZIDUMU ✍️✍️ WANAUME Hupenda Sana Mawasiliano na Kuchat hasa kwa MKE wake Mchumba wake Lakini Kuna vitu Ambavyo unaweza ukasababisha Akawa hachati na kukata Mawasiliano nawe Kutokana na Sms TU unazomjibu nakumwandikia hivyo mwanamke unapotuma sms kwa MWANAUME Kuna vitu uepuke. ✍️✍️Mwanamke Mambo haya Hupaswi UMTUMIE MWANAMME USIJE UKAJARIBU UKAFANYA NI HATARI SANA Mambo hayo sms Kama Hizi ukifanya Utasababisha Mahusiano Yako kuwa na Shida SMS unazopaswa kuepuka kumtumia mwanaume. #1 Picha za uchi. Hap...

SOMO: ANGALIA UMRI WAKO NA USICHEZEE MUDA

SOMO: UMRI WAKO USICHEZEE KATIKA MAISHA. Mithali 14;1 Isaya;58;12 Darasa la Wanandoa Meal; Pastor Richard Simu+255759861768 ✍️✍️✍️Karibuni Darasa la Wanandoa Tunataka Tuongelee Vijana Ambao umri unazidi kuwatupa mkono hawajui Bado hatima Yao bado Wapo kwa wazazi au Ndugu. Karibu uone umri wako unaenda nao sawa au Hapana Kisha Comment Ni mhimu kujali muda wako ili usije kuzeeka Unateseka huna kitu chochote. Karibu ujifunze Umri🙏20 - 25 = Kama ni kielimu hujafikia malengo yako, sitisha mara moja tafuta kazi/biashara ya kufanya, pigana kufa na kupona ili kama vipi urudi shule kwa pesa yako. Umri✍️25 - 30 = Hakikisha uwe na angalau KAZI RASMI kama umeajiriwa au umejiajiri au una shughuli yeyote ya kukuingizia kipato. Umri✍️30 - 35 = Uwe na angalau kama sio nyumba basi kiwanja, tena ujitahidi uwe umeoa/umeolewa. Ni vema ukiwa na familia, kwa maana ya kuwa na watoto kama Mungu kakuwezesha. 35 - 40 = Ni wa...

SOMO: Tofautisha mwanamke na mschana

✍️✍️SOMO; UNAJUA UTOFAUTI YA WANAWAKE NA WASCHANA KATIKA MAHUSIANO ✍️✍️Darasa la Wanandoa ✍️✍️Mwal; Pastor Richard ✍️✍️SIMU +255759861768 Mithali;14;1 Waefeso;5;22 Mithali;7;7 ✍️✍️✍️Tunakutana Tena Katika Darasa la Wanandoa Tunapoongelea Mwanamke Ni Bint AMBAYE Ufahamu wake Anajua Maana maisha ya Ndoa na maana kuitwa MKE Ndani ya ndoa. MSICHANA Ni Bint Ambaye Bado hajui maana ya ndoa au Maumivu katika mahusiano hajui Wala haelewi wanaume wanatofautiana Karibu Uwaone WASCHANA Kwanini humizwa na Wanawake hawaumizwi 1. Wasichana wanatafuta wanaume wenye pesa ila Wanawake wanatafuta wanaume wanaojali na kupenda. 2. Wasichana hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia ukubwa wa mifuko yao ila Wanawake hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia kiwango cha busara na hofu ya mungu na kwa vipi wanajiheshimu mbele ya wapenzi wao. 3. Wasichana ...