Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 10, 2021

SOMO: MUNGU ASIYEKAWIA

SOMO:  MUNGU ASIYEKAWIA KUJIBU Mtu Mmoja alikuwa anateseka na Uzazi Kila Alipoenda Kwenye Maombi Alitamani Kupata mapacha na alikuwa mwaminifu wa ZΓ ka na Maombi yakufunga alifunga Sana Anasema SIKU Moja akiwa mtandaoni akakutana na Ushuhuda wa mapacha wawili Akakoment nami SIKU nikifika TU Kwa huyu Pastor Richard nitafunguka ALIPOFIKA KANISANI Tumbo lake Akafunguliwa Akapata Watoto watatu Na Mungu Kuna wakati unatakiwa utambue Mungu uliye nae hakawii isipokuwa wewe unakawia Kufika Madhabahu iliyobeba majibu yako 🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳 Zaburi;119:60πŸ‘‰πŸΏ Mwanza 34:19πŸ‘‰πŸΏLuka,:1;2πŸ‘‰πŸΏ Matendo;25:17 MAANA YA MUNGU ASIYEKAWIA πŸ‘‰πŸΏπŸŒ³✍🏼Ni Mungu Asiyechelewesha Majibu SABABU ZA KUKAWIA KUPATA MAJIBU YAKO 1:Hutokana Na Kukosa utii wa Sauti ya Mungu na Mlezi wako kiroho yaani mchungaji wako. 2:Kutamani Kitu unachokitaka Lakini Ukawa unajichanganya Katika uaminifu wa zΓ ka usitoe au ukatoa katika Madhabahu Ambayo haijabeba majibu 3:Kutafuta Kitu Usijue Nini kin...