Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba 17, 2022

SOMO; BABA WA KIROHO

SOMO; MFAHAMU BABA WA KIROHO                        UTANGULIZI  Naitwa Bishop Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  Nakukaribisha ufatane nami hapa. Baba wa Kiroho Siyo Anayekuongoza Sala Ya Toba Au Kukuombea Ukapona huyo ndiyo baba wa kiroho hapana. Baba wa kiroho ni Yule Uliyeikumbali injili yake au mafundisho yake ukaamua uaze kufatilia na kusoma mafundisho au injili yake na yale masomo yakakujenga kiimani nakukomboa Fikira na Ufahamu wako ukaamua utembee na Mungu huyo ndiye huitwa mzazi wa kiroho sababu anakulisha kiroho nakukuza kiroho. ___________________________           🍇Tufunue Vitabu🍇  Luka;10;30_37 1wakoritho;4;15 ,2wafalme.22;2-20 1Nyakati;24;2-31, Mithali;15;2-20,Mathayo;10:20-37             .."Baba Wa Kiroho Ni nani? Baba wa Kiroho ni Yule anayekuzaa Kiinjili ya Kristo Yesu Kiroho na Kimwili Anakufundisha na kukuongoza namna yakuishi maish...