MAOMBI YAKUJENGA MADHABAHU WEWE NA MUNGU ALIYE HAI
🎤✍🏾MAombi YA Madhabahu kuujenga wewe na Mungu✍🏾🎤
Madhabahu huwa nini?
Ni mahusiano unayojenga baina yako na MUNGU
Madhabahu humtambua MTU kwa
1;imani
2;Dhabihu sadaka
3;Mahali alipopewa Baba WA kiroho Amlee
✍🏾✍🏾Madhabahu hujengwa ndani ya MTU na ukiona upo kanisani miaka yote hubadiriki kiroho au kimwili maisha yako hata maombi huwezi nk.
✍🏾✍🏾Ujue Hiyo Madhabahu sio mahali alipokuandalia kupokea majibu au Mabadiliko yako.
✍🏾🎤Madhabahu hujengwa ndani ya MTU katika kuweka mahusiano mazuri ya pale Anapokuwa MUNGU amemuweka alelewe vitu
1:Imani
2!sadaka
3;Maombi
Akifanya haya anatoa zaka halafu hapokei au hainuliwi kiroho ujue ile madhabahu haineni juu Yake kaa Umuombe MUNGU Roho Mtakatifu atakushuhudia utakaposimama
Kwa muda mfupi ukaona mabadiliko ya kiroho basi tulia hiyo Madhabahu ndio inakutambua tulia na Huyo mch. Kuwa mmoja watoto wake toa zaka sadaka na Yote Utajibiwa ndani ya hiyo madhabahu itakubadilisha maisha ukiona Roho anakueleza pale papo majibu yako amini hivyo
Ukiwa unazichanganya madhabahu au ukalazimisha madhabahu isiyo yako itakupa dalili hizi
1:Hutojibiwa ukiagalia mwaminifu WA fungu LA kumi
2!Hutabadilika kiroho
3;Utaona wezako wanainuliwa
Wanasimama kimaombi wanasimama wenyewe wanashuhudia
Kumbe ni vyema kuujenga Madhabahu yako kama ilikuwa
Umeinjenga na imani za Tabia zisizompa MUNGU sifa
Tabia ya
Uzinzi
Wizi
Ukahaba
Ulevi
Waganga
Uchawi
Hofu
Husuda
Nk matendo kama haya lazima uache
✍🏾🎤🎤Mwanzo;8;20. Mathayo.23;18-20
🔚Pastor Richard
MOROGORO shukia VETA DAKAWA
Holy spirit ministry Tanzania
Share
Maoni
Chapisha Maoni