SOMO:MAOMBI YA MWAKA 2023 WOTE
MAOMBI KUNDI LA KWANZA TUTAOMBEA Kila JUMATATU MWAKA WOTE 2023 Mstari wa Mwaka Zaburi:20:1 •••••°°°°°°°•••••••°°°°°°°•••••• Litashughulika Kuombea Rehema na Toba Kanisa la Moto Wa Yesu na Waumini wote na watoto wote wa Pastor Richard (Bishop Richard) Tutawaombea Rehema Kwa Mungu. •••••°°°°°°•••••••~~~~~~~~ Tutafungua Kwa Toba Kuwaombea Toba na msamaha watoto wote wa Pastor Richard na group nzima ________________^^^^€€^^^^^^^^^^^^^^^^^^£££ ●:Ee Bwana Yesu naja mbele zako mimi mtoto wako mtumishi wako nalibemba Kanisa langu la Moto Wa Yesu na Muumini mmoja mmoja ninaomba umsamehe kila alipokukosea katika Jina la Yesu Kwa niaba Yake Nasimama mbele zako kumuombea rehema mrehemu Bwana Samehe hata kanisa lako lilopokukosea Shuka Bwana ukawafungue watu na ukawatendee Katika Jina la Yesu. (Rudia ×3) Piga ngoti ombea rehema kwanza kisha Tuendelee. Mistari ya Kusoma na Kutafakari Uombapo Rehema Zaburi 51:1 [1]Ee Mungu, unirehemu,...