SOMO;MAADUI WA 5 KATIKA MAISHA YAKO

SOMO: WAJAUE MAADUI WA 5 KATIKA MAISHA YAKO. JUMAPILI KANISANI LEO ▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎ Karibu Kuna Maadui Wanne Hatari Kwenye Maisha Yetu Ambao Ni Vyema Uwajue. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa WhatsApp +255710889892 Karibu 1:ADUI KAINI. TUNASOMA (MWANZO;4;2-25 Hawa ni Maadui Ambao Wanaojifanya wanakupenda ndani ya moyo yao wana mikakati mibaya Juu Yako. SIFA ZA WATU HAWA 1:Ni watu wanaojifanya wanakupenda kumbe wauaji. 2;Ni Watu Wanaofanya Uadui nawewe Kwa Siri ni ngumu kuwajua hivihivi. 3:Ni watu Wasiopenda wewe Ufanikiwe wanapenda wao tu wafanikiwe. 4:Wanaushauri Na Nia Ya Kukuzunguka Kipindi Ukifanikiwa ukawazidi. 5;Ni watu wanaona wivu kila uwapitapo hatua moja ya maendeleo. 6;Ni watu wanaweza kukuwekea hata sumu wakue. TUFANYE NINI KUWAEPUKA ADUI HAWA 1:Tusiwape nafasi kubwa ya kujua malengo Yetu 2;Tumuombe Mungu atuepushe nao. 2:ADUI DELILA Tusome WAAMUZI;16;1-...