Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 19, 2025

SOMO;MAOMBI YA MTU ANAYEFANYA BIASHARA YOYOTE

SOMO;MAOMBI YA KUOMBEA BIASHARA UFANYAYO. ✳✳✳✳✳✳✳✳✳✳✳✴✴✴✴✴ Karibuni Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro Nipo Kanisa la Holy Spirit church Tanzania  Ni Askofu pia Wa haya makanisa. Ni Mume Wa Mke Mmoja na Watoto wawili. WhatsApp NIULIZE INBOX+255710889892 ⭕MAOMBI YA BIASHARA YAKO SEHEMU  KUU MBILI 1;KUOMBEA MWANZO WA BIASHARA UNAPOANZISHA. 2:MAOMBI YA BIASHARA YAKO  AMBAYO ULISHAIANZA. 1️⃣-KUOMBEA MWANZO WA BIASHARA YAKO UNAPOANZISHA  Vitabu;Kumb.Torati.28;1-2 Kutoka;23;20-24 Mambo Yafatayo ya kufata Unapoanzisha Biashara 1:Mshirikishe Mungu Eneo la Kuweka Biashara yako. INGIA MAOMBI. Mithali;16;3 Omba hivi:-Baba Ninaomba unielekeze Ni sehemu ipi niweke Biashara yangu nataka nifungue Biashara ya kuuza mtumba (utataja biashara unayotaka uanze kuifanya)Mimi Siwezi Kujua Nipe Maono au ndoto au Sema na Mtu aniletee ujumbe mtume Gabriel malaika mkuu aje anipeleke kwenye Eneo la Biashara Yangu Katika Jina la Yesu.Amen.  RUDIA KUOMBA ×7 Sehemu yeyote utakapoona amani ya m...