MOYO ULIOKOSA UJASIRI WA MAOMBI
SOMO:MOYO ULIOKOSA UJASIRI WA MAOMBI. Mathayo:5:8 Mathayo:6;21 Matendo:8:21 Mithali:23:17 Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa. Muda wa Kuongea Na Bishop Richard jioni Saa 12:00 Simu+255759861768 MOYO ULIOKOSA UJASIRI WA KUOMBA: huwa Ni moyo uliozungukwa na majukumu mbalimbali ya Kimwili moyo ulioelemewa na Dhambi . Watu wanaoteswa na huu moyo huwa Ni ngumu wao kusema moyo wao uwaongoze kuomba hauna hiyo tabia au UJASIRI utamkuta mtu Huyu akitaka kuomba TU huu moyo utamkumbusha majukumu ya Kimwili Ambayo anapaswa ayafanye kwa hiyo nguvu ya uwepo inatoweka UJASIRI unatoka Moyo huu humkosesha mtu MAJIBU yake. MOYO HUU HUWA MTU UNAMFANYA HIVI FATILIA UJUE HUU MOYO ULIOKOSA UJASIRI WA KUOMBA. 1:Huu Moyo Humkumbusha mtu Dhambi au Kumhamasisha Afikirie Dhambi. Utamkuta mtu Yupo katika Maombi Unafikiri anaomba kumbe Anadaiwa au Kuna Mchumba wake kanisani baadala Aelekeze akili yake Maombi atawaza wale anaowadai au Mchumba wake Yupo Kanisani na Kama ameingia Kanisani Jana al...