SOMO:JINSI YA KUTOA FUNGU LA KUMI
SOMO;JINSI YA KUTOA FUNGU LA KUMI KATIKA MADHABAHU YA HOLY SPIRIT πππππ✍✍✍✍✍ SIKU ZOTE UJUE MADHABAHU UNAYOISHIRIKISHA MAOMBI AU KUOMBA MAOMBI YAKO LAZIMA UWE NA MADHABAHU YAANI BABA WA KIROHO FUNGU LA KUMI LITOE KWENYE HIYO MADHABAHU YAKO UNAYOISHIRIKISHA MAOMBI UKIENDA KUIAMURU MADHABAHU ILETE MAJIBU YAKO HALAFU HUITOLEI FUNGU LA KUMI HAITAJIBU KWAKO. Mfano Umeomba madhabahu hii ikujibu halafu Pastor Richard huwa hakuoni kwenye list ya watoto walio wanaotoa fungu la kumi au Taarifa zako za uaminifu wako wa utoaji wa za hana BASI Hata madhabahu hii inakuwa haikutambui kama mtoto wa Pastor Richard. Pia Jifunze Kukaa na Kutulia na Madhabahu moja unayoona itakuvusha na kukulea kiroho kutoka hatua moja kwenda igine usiwe mtu usiye na msimamo kama wewe ni mtoto wa Pastor Richard ueleweke na uwe mwaminifu wa fungu la kumi kama siyo simama kwa huyo baba yako wa kiroho uwe mwaminifu wa fungu la kumi hakikisha unapotoa baba yako atamke neno aliombee fungu lako ππKaribu Soma m...