Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 1, 2021

SOMO: MOYO WA IBADA

            SOMO; MOYO WA IBADA Tufungue Biblia ISAYA:1:13👉🏿AYUBU:15;4👉🏿Sefania;3;18 Matendo;13:2👉🏿Warumi:12:2👉🏿Waebrania;12:28 Mwalimu Pastor Richard NIPO Morogoro veta Dakawa WhatsApp+255759861768 🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦 Ushuhuda wa mtoto Aliyekuwa Amechukuliwa Msukule. Mtoto mmoja Aliyeitwa Saidi aliletwa Jumanne Usiku Akiwa hajiwezi na wazazi wake hapa Kanisa katika Ibada ya Maombi ya mkesha wakanikuta wazazi wakilia kwa kumpoteza mtoto wao nikawaambia muwekeni hapo chini Baada ya Kumuweka chini Niliaza kusifu nakumchezea Bwana mpaka mtoto Akafunguliwa Wazazi na waliongozana nao Waliokuwa waislamu Baada ya kuona hayo kwa macho Yao walisema Huyu Yesu wako Tunataka nasisi Nikawaongoza ukiri wakaokoka Watu Sita H...