SOMO: SIRI YA MPEZI ANAKUPENDA
Somo;$iri Za Mpenzi Anayekupenda Kweli Mithali;12:1 Watu wengi Bado Wanakuwa ngizani Katika Kujua mchumba Anayekupenda Kwa dhati Kutokana na Wengi Kukosa Elimu ya mahusiano Karibu Tena Msomaji na Mdau wa Ukurasa Huu Naitwa Mwalimu wa WANANDOA Pastor Richard 1:.Anakuheshimu na anakufanyia mambo yote kwa heshima Mchumba anayekupenda lazima ataonyesha heshima kwako hata kama kuna jambo la ajabu utakuwa umelifanya, halitamfanya akudharau bali atakurekebisha kwa kukwambia kwa heshima lakini haitakupunguzia credit za upendo kwako. 2.Mda wote uko kichwani kwake/anakuwaza wewe Mara nyingi sana hili ni jambo ambalo kama umeshakuwa kwenye mapenzi utakuwa unao uzoefu ni jinsi gani huwa una muwazaga mpenzi wako, mchumba anayekupenda kweli muda wote atakuwa anakuwaza na kama mpo mbali unaweza ukalitambua hilo kwakuwa atakuwa anakutumia sms, kukupigia simu, anakujulia hali kila wakati hata kama mkiwa mnafanya kazi sehemu moja basi atakuwa anapenda sana kukuona na kukufwata k...