Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba 2, 2021

SOMO: DALILI ZA WIZI WA FUNGU LA KUMI

HIZI NDIZO DALILI KUU ZA MTU ANAETESWA NA DHAMBI YA WIZI WA FUNGU LA KUMI. MALAKI:3:10 1:Huingia roho ya kudhulumiwa au Kutapeliwa utakumbwa na matukio ya hivi. 2:Biashara mtaji wako utakufa au utaona Biashara  huuzi Hata Mia ujue Fungu la kumi 3:Utakopa madeni utashindwa kuyalipa na madeni yatakuzidi Kwa Kuwa hujui unatakiwa uaze kutoa Fungu la kumi utaombewa madeni hayataisha Hata nafuu hutaona. 4:Utakumbwa na kuuguza watoto wazazi pesa zako zote zitaishia kuuguza. 5;Kila utakalo Sema ulifanye utalifanya katika Makosa yaani utapatwa na HASARA.. 6;Utafukuzwa Kazi Utashushwa cheo chako 7;Utakosa Kibali mbele za Mungu na Kwa Wanadamu. 8:Hautapata ulizi wa kazi yako utaona Mambo kwenye kazi Yako yanaharibika 9:Utachangia kuua kanisa au Huduma kwa sababu KUPITIA Fungu Lako huifanya kanisa lijijjenge KUPITIA kikumi 10;Uaminifu kwenye pesa na Mali zako utashindwa kumfanya Mungu Asimamie Mali zako . Haya ndio Mambo mhimu Yatakayojitokeza Kwako usiposimama Katika Uaminifu wa F...