Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 10, 2022

MAMBO 6 YANAYOFANYA MWANAMKE AKUKIMBIE

SOMO;MAMBO 6 YATAKAYOKUFANYA MKE AKUKIMBIE AU MCHUMBA AKUACHE  WANAUME Wengi huachwa na kukimbiwa na wanaume zao kwa sababu hizi karibu Naitwa Pastor Richard  1;KUKOSA UMAKINI NAE. Msichana huhitaji Umjali na umsikilize mini anaongea anataji nini  uwasiliane nae asiposikilizwa mwanamke atakuacha au usipowasiliana nae simu unazima 2;USALITI. Msichana anapoanzisha mahusiano na wewe huhitaji awe peke yake  kuaza mundo wa kuogea mara unachati na mwanamke uliyezaa nae akikuuliza unasema ananipa habari za mtoto wangu ni bora ukamchukue mtoto ukae nae au unaongea na mchumba wa zamani mwanamke atakuacha na hutampata kama huyo tena. 3:MUHESHIMU. Mwanamke afokewi au Kupingwa mwanamke Usimfokee au usimfanyie Visa vya ajabu au Usitoe Siri Zake nje au kuwaeleza rafiki zako Ukifanya hivyo mwanamke atakuacha Na atakukimbia au utapata watakaokusaidia kuishi na mkeo.  4;HISIA NAO ZA KIMAPENZI. Mwanamke hupenda uwe na hisia Naye za mapenzi anapokuitaji Tendo la ndoa Aweze kufurah...