MAMBO MATATU YANAYOKUFARAKANISHA NA MUNGU
👊🔥MAMBO MATATU YANAYOKUFARAKANISHA NA MUNGU👊🔥 Mithali:16;1-5 1:UZINIFU:-Hii Lango linalokufarakanisha na Mungu Dalili kuu hutokea ukizini 1:Moyo Kuugua 2:Kuendeshsa na roho hii itakuwa Lango kubwa. 3:Mambo ndio yatazidi Kuwa magumu MPAKA usione Maana ya kuishi. 2;Kuogoka:Hii huwa Hali ya Kukegeuka Unajua hii Ni Dhambi Unafanya Sasa uone Ni Nini wakati huo Umeokoka. Unajua Ukiokoka umetangazs Mapambano na wachawi. Dalili Kuu Tatu HIZI Utaziona ukikegeuka 1:Kiburi Cha Uzima ulionao. 2:Utatoka nje ya Maadili ya Mungu 3:Utaacha Maadili ya Wokovu.(Utarudia Tabia ulizoziacha) 3:WIZI WA FUNGU LA KUMI: Hii huwa Ni Tabia mtu inamwigia anaanza Kidongo Kidongo Kisha anakuwa Sungu Hatoi Fungu la Kumi. DALILI KUU 3 UTAZIONA HIZI 1:Uchumi wako utayumba tu. 2:Afya Yako na Uzao wako itayumba tu. 3: mahusiano Yako na ndoa lazima ikose Amani ndani Haya ndio Uyafanyie Kazi Uwe Vizuri na Mungu Ukikosana na Mungu kupatana nae MPAKA aje AMBAY...