✍️✍️SOMO✍️JINSI YA KUISHI NA MWANAUME ASIYE na PESA
✍️✍️✍️SOMO: JINSI YA KUISHI NA MWANAUME AMBAYE HANA PESA AU KAZI MWANAMKE Chukua HAYA✍️✍️✍️ Tufunue vitabu hivi Isaya;58;12 ✍️ Waefeso 5;22 ✍️✍️DARASA LA WANANDOA ✍️✍️Mwal; PASTOR RICHARD Nipo Morogoro veta Dakawa Simu+255759861768 Ni siku nyingine tunakutana kwenye Darasa la WANANDOA Leo hii naongelea JINSI ya wewe mwanamke kuishi na mwanaume asiye na Pesa maana Wanawake na Mabint Wengi hufikiri Pesa ndio ndoa au mahusiano Bora yapo kwa kijana mwenye Pesa Kumbe Tunaitaji Kuolewa na mtu sio Pesa Hebu Karibu Darasani. Mwanaume ambaye atakuwa na ukwasi wa kutosha huyo ndiye anayefaa kuwa naye kwenye uhusiano au hata ndoa. Anaamini kwamba pesa ndiyo kila kitu. Pesa ndiyo itakayompa mahitaji yake ya kupendeza na kila kitu. Mwanaume bila pesa kwake ni sawa na debe tupu. Upepo wa imani hiyo upo sana mjini. Baadhi ya wanawake...