Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba 18, 2021

SOMO;THAMANI YA KIJANA NDANI YA KANISA.

Picha
SOMO: KIJANA THAMANI YAKE AKIOKOKA NDANI YA KANISA HATA KATIKA JAMII. Karibu Tunaongelea Leo Thamani Ya Kijana mkristo Nafasi Yake kibiblia na mbele za Mungu. Kijana huandamwa na Tamaa mbalimbali na Changamoto za utafutaji Zinazomfanya Aishi mbali na Mungu Kutokana na Kuwa na muda mchache wa Kupumzika Mungu anatambua Kijana husumbuliwa na Tamaa za Pesa Mali Ujana Ukisoma 2Timotheo:2:22 Karibu Katika Darasa Hili Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa MAMBO SABA YA MSINGI YA KUKUSAIDIA KUTAMBUA THAMANI NA NAFASI YAKO KAMA KIJANA MKRISTO 1.  Ni vizuri ufahamu kwamba KABLA HAUJAZALIWA Mungu alishakujua na aliweka tayari KUSUDI,  NYAKATI, na UWEZO ndani yako maalum kwa ajili ya KANISA.{Yeremia 1:5; Zaburi 139:13,15,16;} Kijana unatakiwa ujue Kusundi ambalo Mungu amekuitia Kama Ni kuimba imba Kama Ni uchungaji uinjilist Tumika Kwa Kujitoa Kweli Kweli Usiishi maisha ya Kikristo bila kujua Kusundi lako 2. Tambua kuwa hakuna Rika lililopewa upendeleo na nafasi ya pekee kama UJ...