Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 8, 2018

SOMO :KUTODUMU KWA MAHUSIANO unaanzisha mahusiano yanavunjika ndoa kuvunjika

Bwana YESU Asiwe watoto Wa MUNGU Karibu kwa majina Naitwa  PASTOR RICHARD SOMO LETU  linaongozwa na vitabu hivi . Kutoka:34:15-16   2wafalme:9:22    HOSEA 2:2     Ezekieli 23:35,45   2Petro :2:14 SOMO hili litakuf ungua KUVUNJIKA KWA MAHUSIANO HUWA SIO HALI YJAMBOA KAWAIDA AU  LA KUCHUKULIA KIMAMZAHA USIOMBEWE TATIZO LA  WALIOPENDANA KUACHANA huwa ni njia za shetani ambazo huzitumia kwa kutumia roho zinazomfanya mtu Awe kwanzo kwa  mwezake na hii imefaulu kwa watoto wengi wa MUNGU  shetani kuvuruga na kuyaachanisha  mahusiano yao Juu ya watu waliowapenda na kufikiri hawa ni chunguo sahihi kwa kuwa kazi ya shetani ni uharibifu huwa siku zote yeye hupingana na angizo la Mungu Na hii huwasumbua sana watu ambao hawajasimama kiroho au kutambua kuwa  shetani YUPO na mabint na vijana wengi wameishia Kuumiza au kuumizwa  MAMBO  YANAYO MFANYA  SHETANI  APATE  NAFASI Huwa ni Pale wewe...