Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 26, 2025

NDOTO ZA KUOTA MAGARI

Picha
NDOTO ZA KUOTA MAGARI.  Zekaria 6:1 Nikainua macho yangu tena, nikaona, na tazama, yanatokea magari ya vita manne, yanatoka kati ya milima miwili, na milima hiyo ilikuwa ni milima ya shaba. Auburn:33:14-15. NDOTO ni Taarifa Ya Jambo linalokuja au liliopo au lilishapita Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro Kanisa LA Holy Spirit church Tanzania NDOTO za Kuota MAGARI humani Mambo yafatayo Kwenye Ulimwengu wa roho. 1:Gari au Usafiri humanisha Baraka za kimwili na rohoni.  2:Humanisha Huduma au Kazi Mtu Anayokuwa Anaifanya.  NDOTO NA TAFSIRI SAKE.  1:Ukiota upo sted gari limekuacha👉 Unajulishwa Maendeleo uliyonayo yatacheleweshwa kiroho na kimwili.  Omba kukataa Kucheleweshwa 2:Ukiota Unaendesha gari👉Unajulishwa Huduma au Kazi Yako itaenda Vizuri mno. Omba bariki NDOTO hii .  3:Ukiota Umeharibikiwa Gari👉Unajulishwa Kazi Yako inaenda kuingia shida ya kuyumba.  Omba Kukataa ndoto hii. Nakataa kuhabika kwa Kazi kwa Jina LA Yesu. Ameen 4:Ukiota Upo ...