TANGAZO LA HUDUMA YA WACHUNGAJI
KANISA LA HOLY SPIRIT CHURCH TANZANIA 2024 🇹🇿 (H.S .C.T) NA. SA.21139 Chini ya Muasisi na mwanzilishi wa Makanisa haya Richard Julius Kushoka(Pastor Richard/Bishop Richard) Tunakufikia wewe Mtumishi mwenye wito wa kutumika Katika huduma zifatazo. A.Mwalimu B.Mchungaji C.Nabii D.Mtume E.Mwijiristi KWA UFUPI KUHUSU KANISA LETU Kanisa hili limeanzishwa na mtanzania halina mfadhili wala ushirika na shirika lolote la nje . Lipo Morogoro Wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni likiwa limetimiza Usajiri wake CPCT na WIZARANI NA; 21139 Linatenda Kazi zake za kuhubiri injiri kisheria na kwa uwazi kupitia njia za mtandaoni ,kawaida,radioni Nk OFISI KUU ZIPO: Zipo Mkoa wa Morogoro Wilaya Ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni MISINGI YA KANISA LETU NI YA KIPETECOSTE AMBAYO IMEHAKIKIWA NA CPCT TAIFA IKAPITISHWA KISHERIA. VIGENZO VYA WATUMISHI TUNAOLEGA KUWAFIKIA KUTUMIKA PAMOJA NAO Sifa zao -Umri kuanzi miaka 20 mpaka 45 -Wawe wana wito na nia ya kutumi...