Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 23, 2023

MAOMBI YA UKOMBOZI WA NDOTO

MAOMBI YA KUJIKOMBOA NA NDOTO MBAYA ZOTE. UTANG: Majeshi ya shetani huweza Kumfata mtu usiku na kuuganisha uharibifu au matatizo ndani ya mtu usiku hasa wale watu wasiomba usiku au watu wasiopenda ibada. Watu wengi wanaota Wanafanya mapenzi,Wanakula vyakula, Wanasoma shule ya msingi wanakimbizwa, Nyoka au Kuota misiba kuongea na watu waliokufa. Ni 80% Kati Yao Wanateseka eidha na mahusiano eidha uchumi eidha maisha ya kiroho. Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  Dumila wilaya ya Kilosa WhatsApp +255759861768 UNAPOTAKA UJIONDOE KWENYE KUOTA NDOTO MABAYA VAA SILAHA TATU ZITAKUKINGA NA NDOTO  👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 KATIKA MAOMBI YETU TUNASIMAMA NA  👇👇👇👇👇👇 WAEFESO:6:10-20 Silaha ya Kuvaa Kujilinda na Ndoto mbaya ni Tatu Tu 1;SILAHA YA KWANZA VAA MAOMBI. Watu wengi ambao ni baridi katika maombi adui lazima awatese Sababu wao kuomba wanasema hawawezi mpaka mchungaji wao awaombee lakini Yeye kuomba yupo bize Sana hana muda tengemea Shetani ataendelea ...