Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 27, 2022

SOMO: MAMBO YANAYOKUFANYA UWE Masikini

SOMO;MAMBO MANNE YANAYOKUFANYA UWE MASKINI. Mwal. PASTOR RICHARD  MOROGORO VETA DAKAWA  WHATSAPP +255759861768 1:WAZO LA KUJIONA UMESHINDWA. Matokeo ya ulivyo nikutokana na Wazo ulilokuwa Unawaza huko nyuma. Huwezi kuwa Tajiri wakati Unawaza Umasikini Huwezi kuolewa wakati unawaza Kuwa Singo. Zaburi 94:11 [11]BWANA anajua mawazo ya mwanadamu,  Ya kuwa ni ubatili.  The LORD knoweth the thoughts of man, that they are vanity. 2:KUCHUKIA MAFANIKIO  YA WENGINE. Hapa Tusome; Mwanzo:4:1-10 Huwezi Ukawa mtu unayechukia maendeleo Ya wegine ukifanikiwa.  3:MATUMIZI MABAYA YA KINDOGO UNACHOPATA. Huwezi Kumiliki Ukathamini Kitu Kikubwa wakati kidogo unadharau  Mfano umepata 10000  Yote inaisha usiweke skiba lazima uwe maskini. 4;JIFUNZE MAKOSA YAKO KWANINI NI WEWE  UPO HIVYO. Mtu anayetaka Kufanikiwa Lazima Ujifunze upate ujuzi juu ya unachoenda kukifanya.  HITIMISHO  Epuka umasikini Ambao Unaweza ukaepuka kupitia haya tuliojifunza WhatsApp Pas...