SOMO.MAOMBI YA KUOMBEA KAZI ZETU
MAOMBI YA KUOMBEA KAZI YAKO KILA SIKU KABLA HUJATOKA NYUMBANI Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa 👉Africa ✍Tanzania WhatsApp niinbox 0759861768 MAMBO AMBAYO UYAZINGATIE 1:Maombi haya uyaombe kila Siku kabla hujaenda kazini changua ombi moja omba. 2.Kila wiki Utaandaa Sadaka Yako nakumshukuru Mungu kukulinda wiki nzima kisha utaituma kupitia madhabahu hii ya moto wa Yesu. 3.Hakikisha Kila wiki unaomba maombi ya kushukuru kama navyoelekeza mwisho MAOMBI YA WALIOAJIRIWA KWA MIKATABA NA WALIOJIAJIRI KWA KAZI YOYOTE YA HALALI ________________________________________ 1:Ninaibariki Kazi Ya Mikono Yangu Kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu Katika Jina la Yesu.Amen Omba ×3 Imeandikwa Zaburi 128:4 Kiri huu mstari umebarikiwa wewe. Mf. Mimj Pastor Richard nimebarikiwa nimebarikiwa. [4]Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye BWANA. 2;Baba Yangu Wa Mbiguni Nakuomba Siku Ya Leo Ukaitawale Kazi Yangu Umtume malaika msimami...