MAMBO YAKUFANYA UKISALITIWA
SOMO: MAMBO YA KUFANYA UKIACHWA NA MCHUMBA WAKO. Marko : Mlango 14 42 Ondokeni, twendeni zetu; tazama, yule anayenisaliti amekaribia.Kusalitiwa na Kukamatwa kwa Yesu ✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍️✍️✍️✍️ Karibu Katika Darasa la Wanandoa Na Mahusiano Masomo haya nakipindi hiki kimenusuru NDOA nyigi Uchumba uliokuwa hauna Amani umeponywa kupitia Kipindi hiki Karibuni kwa Wageni Naitwa Pastor Richard nipo Morogoro Veta Dakawa Piga Jioni Saa 12:00 Kwa Namba+255759861768 nieleze ✍🏼✍🏼KUSALITIWA NI NINI?? Ni Mtu uliyemuamini na Kumuweka moyoni ambaye anafanya vitu tofauti na vilivyokufanya umwamini. 1*1=1 inakuwa 1+1=2 Anajumjulisha nakumpata mtu mwigine anayemfanya Tena wewe aondoe uthamani wako nakumpenda huyo. MTU ANAPOKUSALITI AMEAMUA MWENYEWE WALA SIYO PEPO BASI WEWE UNATAKIWA UFANYE HAYA ILI USIUMIE AU KUMUWAZA. 1:FUTA SMS ZAKE NA NAMBA YAKE BLOCK. Kufanya hatua hii itakufanya Asiendelee Kukupa maumivu najiraidi Namba unaisahau nakuifuta kichwani mwako Futa yote na jina ...