Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 23, 2024

SOMO;MAOMBI KUJIACHANISHA (KUJITENGANISHA)

SOMO: MAOMBI YA KUJIACHANISHA. Kuna vitu vingine ili upone jiachanishe navyo  Katika Maisha ya ulimwengu wa roho huabatana na maisha yetu ya Damu na Nyama Kwa hiyo huwa Tunapitia hali magonjwa madhaifu madeni na Mikosi mbalimbali ambayo ipo kiroho imeshikama nasi au kuabatana nasi. Mfano: Unaumwa ugonjwa upo ndani ya Damu umeshikamana na Damu yako mfano Unateswa na madeni madeni yapo kwenye nafsi yako yaani kiu ya kukopa imeshikamana nawewe. KWA UFUPI NATAKA NIMANISHE KWAMBA UNATAKIWA UJIACHANISHE NA KILA HALI INAYOKUTESA;   MISTARI YA KUSIMAMIA    ===================== Ayubu 9:27 Nikisema, Mimi nitasahau kuugua kwangu, Nitaacha kununa uso nikachangamke moyo; "Maana yake huyu Ayubu alikuwa Akiumwa Akaamua Ajitenge na magonjwa yaliyomtesa. Wagalatia 1:15 Lakini Mungu, aliyenitenga tangu tumboni mwa mama yangu, akaniita kwa neema yake Mungu ndiye Mwazilishi wa Kuviachanisha au Kuvitenga Vitu na Vigine. Mfano kama kichanga kinavyotenganishwa na Tumbo la Mama. Mwanzo 1:4...