Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 21, 2018

SOMO: CHANZO CHA MATATIZO

👆🏽👆🏽✔ *SOMO: CHANZO CHA MATATIZO KWA MWANADAMU* Yakobo:1:2-4 2Koritho:1:3-7 8-10 KUNA MAMBO YANAYO MFANYA MTU ATESEKE AU APITIE MATATIZO Ambayo humfanya mtu aishi kwa Shida na Matatizo Mbalimbali  karibu ufuguliwe katika somo hili Lengo la SOMO : Uelewe NJISI yakutoka kwenye Tatizo lako au Umsaidie mwenye Matatizo *KABLA SIJAENDELEA KUNA Jambo ambalo lazima uelewe  mtu alianza kuteseka pale tu Adamu na Hawa waliambiwa wawe waagalifu wanaweza kutumia miti yote Lakini wasitumie mti wa miujiza na mabaya na Mema. LAKINI  HAWAKUWEZA KUTII AU KUZINGATIA* KWANINI mtu huwa mgumu sana kwenye kushika anachoelekezwa chenye kuokoa maisha yake  hii huwa sababu ya kuteseka *Mwanzo:1:31 mwanzo 3* *1:MATOKEO YA DHAMBI* Hii huwa sababu inayomfanya mtu atende dhambi na akishatenda ile dhambi humfanya ajute na kupitia  katika chagamoto mbalimbali na kumpelekea mtu Awe chazo cha mateso Mambo hayo huwa ni Pamoja ya dhambi Adamu n...

SOMO : LIJUE MAANA YA JINA LAKO KATIKA SIFA YAKE

✍🏾✍🏾 *LIJUE JINA LAKO sifa  Yake *HERUFI* A Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira. Ni Jeuri Sana Wanaakili Pia Watu wenye SIRI sana MTU HUYU HUWA Anatumia Akili Tu Kufika Pale Atakapo USHAURI UNashauriwa mwenye Jina Kumcha Mungu na kuepuka matukio Na ugomvi Sababu huwa wagomvi wachochezi sana washudiaji vitu.   *Mwenye HERUFI B* wenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika  pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake. Hapendi Adhurumiwe au Uchezee kilicho chake ni wataratibu sana na wanaofanya mambo yao kimya kimya. ✍🏾✍🏾😄Watu Hawa Hupenda Kushauriwa na kufanyia  Kazi Katika Yale Wanayoshauriwa Na Hufika mbali kimaisha...

SOMO:LIJUE MAANA YA JINA KUFANIKIWA KWAKE

👉🏽 *NJISI  YA MAJINA  KUFANIKIWA KUAZIA HERUFI A-Z* _Pastor Richard_ From MOROGORO _WENYE HERUFI A_ 1:Anashauriwa Asimamie  katika Msimamo wake Asiyumbishwe 2;Ajiamini kwa kila jambo Afanyalo 3!Awe MTU WA IBADA NA Ushirika Na MUNGU 4;AJIREKEBISHE SIFA Zisizo faa kama Kiburi ugomvi nk aache. 5;Ajichanganye na wengine asijitenge tenge 👉🏽 _WENYE HERUFI B_ 1; Ajiepushe na makundi marafiki 2; ASIMAME Katika sifa zake asifate mkumbo 3;Awe  mtetezi kwa waliodhaifu 4; Asimame Na MUNGU asimuache 5; Abadilishe Sifa  zisizofaa ajirekebishe 👉🏽 _WENYE HERUFI C_ 1;Huyu Anashauriwa Tabia ya kubadilika Badilika Waache. Wasimame na malengo yao 2;Wasivunjike Moyo wawe jasiri 3;Wamuweke MUNGU mbele waache kubabaika Mara wanarudi nyuma Mara wanasimama 4; Waheshimu Ndoto zao 👉🏽 _WENYE HERUFI D_ 1; Wanashauriwa waendelee na msimamo yao Kupenda Hali. Waepuke Ujeuri wawe watu wenye kujishus...