SOMO: MTOTO WA MUNGU MTAMBUE MUNGU WAKO
SOMO; MTOTO WA MUNGU MTAMBUE MUNGU Naitwa Bishop Richard Karibu ninaishi Morogoro Veta Dakawa Someone Hili linalenga mtu mmoja TU Anatakiwa amtambue Mungu wake na kuelewa anavyoishi maisha Yake yatapona Kupitia someone Hili tu Kwa msaada wa Maombi piga Jioni Saa 12 00 Namba +255759861768 1:KWANINI UMEAMINI KUNA MUNGU Yaani lazima ujiulize Huyu Mungu uliyehubiriwa Ni roho au miungu Kama umehubiriwa miungu je ukisoma kitabu Chako Cha Huyo Mungu unaemsoma kinamtambulishaje na anawezaje kukusaidia. Basi UNAPOMWELEWA MUNGU NA KUMTAMBUA inakufanya iwe rahisi ukimuita atende 1 yohana : Mlango 3 1 Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu; na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye. HUU mstari mwandishi Ametueleza ukitambua kitu Hakuna Tena elimu itakayokufanya usikitambue kitu Kama ulivyokielewa Lazima Tujue Sisi watoto Mungu aliye ulimwengu na Ishara zake maovu Yake hatuyatambui na menyewe hayatutambui kwa ...