Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 30, 2021

SOMO: YAFANYE HAYA KWENYE MAHUSIANO NAYATADUMU

SOMO; YAFANYE MAHUSIANO YAKO YADUMU KWA KUFANYA HAYA KABLA HAMJAOANA. Naitwa Pastor Richard Mwalimu wa Wanandoa Kuna Watu Wengi Wameshindwa KUIMARISHA mahusiano Yao Nakuyafanya Yasifikie kwenye ndoa Kwa Sababu Yakukosa Ufahamu wakujua haya mapema Mithali 8:10 [10]Pokea mafundisho yangu, wala si fedha,  Na maarifa kuliko dhahabu safi. ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️ Yeremia 7:28 [28]Nawe utawaambia, Taifa hili ndilo lisilosikiliza sauti ya BWANA, Mungu wao, wala kupokea mafundisho; uaminifu umepotea, umekatiliwa mbali na vinywa vyao. ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸŒ΄πŸŒ΄πŸŒ΄πŸŒ΄πŸŒ΄ Mwanzo  wa Mahusiano Msidanganyane(a)Mwambie mwenzi wako ukweli. (b)Mwambie yale unayopenda na usiyopenda. (c)Kuwa muwazi kwa mwenzi wako. (d)Onyesha upo tayari kuachana na mambo yote uliyokuwa umeyazoea ambayo kwa sasa yanaweza bomoa uhusiano wenu. Mfanye Mwenzako Ajisikie ni wa Muhimu (a)Tenga muda maalumu wa kuwa naye. (b)Onyesha unafurahia uwepo wake. (c)M...

SOMO: USHUHUDA

SOMO: USHUHUDA WA MUNGU Zaburi 19:7 [7]Sheria ya BWANA ni kamilifu, Huiburudisha nafsi. Ushuhuda wa BWANA ni amini, Humtia mjinga hekima. ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️ Marko 14:55 [55]Basi wakuu wa makuhani na baraza yote wakatafuta ushuhuda juu ya Yesu wapate kumwua; wasione. ✔️✔️✔️✔️🙏🙏🙏🙏🙏✔️✔️✔️ 1 Wakorintho 1:6 [6]kama ushuhuda wa Kristo ulivyothibitika kwenu; Karibu Katika Nakala Hii Jumapili ya Tar;30/5/2021 Lengo Ujifunze Ushuhuda Ndani Yako Na Umhimu wa Wewe KUSHUHUDIA ulazima Wakumshuhudia Bwana Kwenye Maisha Yako. Naitwa Pastor Richard Kutoka Morogoro Veta Dakawa Madhabahu Ya Moto wa Yesu MAANA YA USHUHUDA;Matendo Makuu Au Ni Jambo Ambalo Mungu Amekuf...