SOMO:MAOMBI YA KUVUNJA MADHABAHU YA KICHAWI
SOMO: MAOMBI YA KUVUNJA MADHABAHU ZA KICHAWI Kuna Watu Wanateseka Na Madhabahu za Kichawi Kutoka Kwa Wazazi Wao Leo hii Zinawatesa Watoto Wao Kusoma hawaelewi Darasani Watoto Wengine Wamekuwa viziwi wengine Vipofu na Wapo wengine Hawaolewi au Kuowa Wamekuwa ni Watu Wanaotumikishwa na roho ya kuzini hatari Pasipo Kujua nyuma hicho kitendo wanachofanya Kuna Madhabahu Ya Kuzini. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa TUNASIMAMIA; Isaya 43 yote Waefeso:6:10-20 Katika Maombi Yetu Haya mstari mkuu wa kutamka unapoomba ni 2Wakoritho.10;3-6 ":MAMBO HAYA YAZINGATIE KABLA YA KUANZA KUOMBA": <===============================> 1.Hakikisha Umeokoka na Kusimama usikurupuke Kuvunja madhabahu za kichawi zilizo ndani ya Familia ukiwa hujasimama. 2 Utakuwa Na Sadaka Yako Kuanzia 50000 na utaitoa siku ya kumaliza maombi kupitia hii madhabahu utanipigia simu ukishatoa. 3.Tambua Madhabahu ya Kichawi ndani ya Familia husababisha. Watoto wachukie shule au wawe wanadodoka au Kuw...