SOMO: KARIBU YESU
SOMO👉🏿 KARIBU YESU HIVI VYAKO MWILI WANGU MALI ZANGU Mathayo:16:8 UFUNUO:3:20 Basi Alikuwepo mtu Mmoja ameokoka anampenda Yesu Sana Siku Moja Yesu Alimtembelea Nyumbani Kwake Akabisha Hodi,,Hodii,,Hodii,,Akasema Karibu wewe Nani Akasema mi Yesu akamkaribisha Akampa chumba Self KILA kitu humo Yesu akasema okay Siku ya pili akasikia hodi akaenda kufungua akakutana nakipondo Cha Shetani akapingwa na Shetani na Yesu Yumo ndani ya NYUMBA Yake Siku Ya Pili Shetani akaja Akabisha hondi Akafungua mlango Shetani alimpiga nakumtesa Yule mtu Siku 14 Yumo ndani Akakumbuka hivi Kwanini napingwa na Yesu ninaye Humu Humu ndani akamfata Akasema Mimi Yesu shetani ananitesa nawewe humo humu ndani hunisaidii Yesu Akamwambia Umenipa chumba hiki Kimoja nikae nami nalinda hiki ulichonipa Akasema Aah Sasa ukae na Sebuleni usiwe TU chumbani Yesu akawa Yupo na Sebuleni Shetani Tena akaja Siku Hiyo kabisha Hodi Akafungua Shetani Akamvuta nje kampiga Kweli alimtesa magumi akaondoka kw...