Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni 17, 2025

SOMO: NGUVU YA MTAZAMO INAVYOBADILISHa

SOMO; NGUVU YA MTAZAMO UNAVYOBADILISHA MAISHA YAKO.  Rejea Vitabu: Mithali:15:29-33.  1Wakoritho:9:7-10  2Wakoritho.5:16 UTANGULIZI:- Ni mhimu Kujifunza Hili Somo kwa Sababu Watu Wengi Wanaishi kwa mitazamo yao na huo mtazamo huwapa nguvu ya kuyapa majina majira mbalimbali na kuishi kulingana na hayo majira walivyoyapa Majina. Mfano; Bint Anapitia kipindi cha kupata wachumba na kuachwa Mtazamo akilini utakuja Amefungwa na nguvu za ngiza Ataanza kuishi ndani ya huo Mtazamo mpaka apate mtu amtoe katika huo mtazamo atapokea mtazamo wa kuolewa. Mtu Amekuwa Akiitwa kazini anaishia Itaview Haitwi Mtazamo utakuja Wanaoitwa kazini wana watu wakubwa hilo ni Jina la mtazamo wake mwenyewe.  Mtoto Wa Mungu Ninayekuletea Hili Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro Lengo Ujifungue Kamba ya Mtazamo iliyokufunga. MTAZAMO NI NINI..?  Mtazamo ni Picha na Muonekano wa Majira unayo yapitia namna unavyoweza kuyaita majina..? Mfano; Mambo yanaenda vibaya kila kitu hakiendi Utakiita hicho ...