SOMO;MAOMBI YA KUOMBA MKE AU MME
SOMO;MAOMBI YA KUOMBA MKE AU MME KWA WASIOKUWA NA WACHUMBA AU RAFIKI.(Tutaomba mpaka Tulete Matokeo ) ππππππππ΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄ 2024 Mwaka Wa Kusitawi (Mwanzo;26;13) πππππππππΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ 2024 Hatutembei Kinyoge Sisi. Habari Mwana Wa Mungu Maombi ni watu wanaotaka kuolewa au Kuowa lakini hawana mahusiano wapo Singo Kabisa Haya ndiyo maombi yao kama unamchumba au rafiki lakini urafiki wenu sungu Unatakiwa Simama na maombi ya kucheleweshwa na yakujenga madhabahu ya uchumba yaombe mpaka uone mmetoleana mahali Jifunze Kuwa na Msimamo wa Kuomba mpaka uone Matokeo maombi yako yamekupa majibu. Naitwa Pastor Richard Ninayekuandikia Maombi haya nakukuongoza kwa msaada wa Roho Mtakatifu nimetoka Maombi ya Asubuhi nasikia Sauti niandikie maombi haya. MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA NA UFAFANUZI WA MAOMBI. A.Usiombe ukiwa unaye mtu tayari au hujasoma ukaelewa maelekezo ya uombaji. B.Utaomba Siku Tatu Siku ya nne utatoa Sadaka yako kwa ajili ya hayo maommbi ya...