Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni 9, 2020

SOMO; UCHUMBA NA HATUA ZA KUOA KIBIBLIA

✍️✍️SOMO: UCHUMBA NA PROCESS ZA KIBIBLIA  KUFIKIA NDOA✍️✍️ TUSOME Vitabu hivi.✍️✍️ Mathayo:5;37 Wimbo;4;1-5 Mithali;19;14 Luka;2;5 Kutoka:21;8 Hosea;2;19 ✍️✍️ Karibuni Katika Somo Letu Hapa Leo Tutajadili na kujifunza Utaratibu wa mkristo Aliye na Uchumba Unaetaka Kuingia Kwenye Uchumba huwa kuna Process Zipi Kama mchumba uliyechumbiwa au Kuchumbiwa Hatua Hizi Ni vyema Ukazitilia mkazo na maanani Kama Kweli Umeamua Kua ili kuurudi Ushuhuda wa Kristo na wengine kuinga kitu. ✍️Naekuletea DARASA Hili Naitwa Mwalimu Wa Wanandoa Pastor Richard ✍️DARASA LA Wanandoa ✍️✍️ UCHUMBA NI NINI..? Ni process zinazopitiwa na jinsia mbili Mwanaume na Mwanamke zinazowapeleka kwenda kuwa Wachumba Wanaotambulika Au Kuingia kwenye ndoa. Uchumba Ni hatua ya Pili ya kuelekea ndoa ✍️✍️ UMHIMU WA MKRISTO KUPITIA HATU...