Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 13, 2022

SOMO● MISINGI 3 YA MAISHA YAKO KUFAULU.

SOMO● MISINGI 3 YA MAISHA YAKO KUFAULU. UTANGULIZI; Kuna misingi mitatu unayopasa uitumie au kuiishi nakuijua Maisha Yanaitaji uyawekee misingi ili ufike mbali. Maana YA Msingi; Ni kuanzia chakulifanya jambo lisimame Karibu Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  °°°•••••°°°°••••••°°°°°••••°°•••••°°°••••• 1:MSINGI WA KWANZA; ●WAZO. Wazo; Huwa ndio msingi wa kwanza kuvuka katika maisha yako. a)Yaani Jiulize Wewe Ni nani Unapaswa uwe wapi na ufanye nini. b)Unapopata majibu ya maswali haya. Anza kujiuliza nafikaje nifanye nini nifikie wazo langu. SOMA mithali;16:3 Mithali;21;5 2:Msingi wa Pili: Connections na Watu,Mawasiliano na Watu, Maisha yanaitaji uwe na mawasiliano na watu wengine kupeana taarifaa ya furusa mbalimbali Na hii itakufanya ufike mbali Kimaisha Kuna watu mmefungwa hamupigi Hatua kwa kuwa hamna Connection. Soma; Waefeso;3:2-6 3:Msingi wa Tatu; Imani Kwa imani kila kitu huwa tunafanya na Tumechukua hatua hata tunafikia malengo kwa imani Hebu Thubutu Kuchu...