Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari 1, 2022

SOMO;KAZI ZA MZEE WA KANISA

SOMO; MAJUKUMU YA MZEE WA KANISA NDANI YA KANISA. 1:Walio na uwezo Wenye kumcha Mungu 2:Watu wa kweli / si wenye ndimi mbili 3:Wenye kuchukia mapato ya udhalimu 4;Wenye kujawa Roho wa Mungu 5;Wenye kujali na kutunza familia zao /mahusiano mema katika familia 6;Wenye kushuhudiwa mema na watu walio njeWatu wasiolaumika 7;Wenye kiasi na busara/hekima Wenye kujali/kufuata utaratibu 8;Si watu wa kujadiliana(:: si watu wa kubishana) 9;Wasiwe wepesi wa hasira 10;Wasiwe watu wa kujipendekeza nafsi zao 11;Walio kielelezo kwa maneno mema na matendo mema, usafi, imani, na upendo. {Kut.18:21; Mdo.6:3; 1Tim.3:1-13; 4:12-16; Tito 1:5-11; 2:1, 7,8} MZEE WA KANISA (::: Mwangalizi wa Kanisa) Ni daraja lenye madaraka makubwa. 👉👉Mzee wa Kanisa Apaswa awe :1.Aliyejitoa kikamilifu kwa Kristo. 👉🏿“Huwezi kuwa na mvuto utakaowabadilisha wengine mpaka moyo wako mwenyewe umenyenyekezwa na kusafishwa na kulainishwa na neema ya Kristo” (Evangelism, 458). 2.Kielelezo kwa washi...

SOMO;KAZI ZA SHEMASI

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 *SOMO: KAZI YA SHEMASI KANISA LA MOTO WA YESU Morogoro Wilaya Ya Kilosa Dumila (Mbingiri) KWA PASTOR RICHARD *KAZI ZA MASHEMASI* *1) Kusimamia taratibu zote za kikanisa, kama vile.* a) Usafi na upambaji wa kanisa b) Kupanga ukaaji wa watu kanisani c) Ulinzi wa kanisani wakati wa ibada d) Kusimamia upishi na uugawaji wa vyakula e) Kuwakarimu wageni - kuwapokea, kuwakaribisha, kupata taarifa zao na kuwapa maelekezo. f) Kuwahudumia wagonjwa na wasiojiweza g) Kuwasaidia wanao dondoka na wenye mapepo wakati wa maombezi h) Kusimamia ratiba za kikanisa. *2) Kusimamia waamini wa mtaani kwako.* a) Kusimamia ibada za nyumba kwa nyumba b) Kuwahudumiawashirika walio wajane, yatima, wagonjwa na wasiojiweza. c) Kusaidia mawasiliano ya kikanisa wakati wa ibada na hata wakati mwingine. d) Kufuatilia taarifa za washirika. *3) Kufundisha, kuonya, na kuel...