Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba 31, 2020

SOMO:MOYO WA UTARATIBU

SOMO : MOYO WA UTARATIBU MZURI Tufunue Biblia 👉🏿✍🏼2Wathesalonike:3;5-10👉🏿✍🏼1Wakoritho:14:40✍🏼👉🏿1Wathesalonike:5;14 Karibuni Naitwa Bishop Richard Kanisa la Roho mtakatifu (Moto wa Yesu) Naishi Morogoro✍🏼 Tanzania WhatsApp number+255759861768 MOYO WA UTARATIBU MZURI 👉🏿✍🏼Huu Ni moyo unaokuongoza Uishi maisha ya utaratibu na mpagilio mzuri Kwenye maisha yako au Kwenye ndoa yako au Kazi zako. UTARATIBU; Maana Yake Muongozo au Mtiririko mzuri. LENGO LA SOMO: Uwe na Moyo uliojazwa katika utaratibu. Dhima Yetu;Kuuganisha Usawa na Umoja Katika Jamii kupitia Somo hili FAIDA ZA MOYO HUU. 1:Kuujega msingi ulioimara 2;Kufanya Maisha yako yawe ya mfano kwa Jamii. 3:Hufanya Moyo wako uvumilie na ufikie Lengo. 4:Hujazwa Hekima na Utashi Mkubwa Moyo huu 5:Ni Tabia Ya Ki MUNGU unapoishi Katika Utaratibu. HASARA ZA KUKOSA UTARATIBU 1...