Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 14, 2023

SOMO;MAADILI YA UVAAJI KWA MKRISTO

SOMO: MAADILI YA UVAAJI WA MKRISTO KATIKA MAANDIKO. UTANGULIZI  Tuache Kujifariji na Kudaganyana Kwa kuwafundisha watu kuwa Mavazi Kwa mkrito ni moyo wake na siyo muonekano wa nje hali ambayo inapelekea wakristo wengi kuuguka kiroho na kupoteza ushuhuda mzuri ndani ya kanisa mimi Leo nataka nikufundishe mavazi ya kimwili na wewe kiroho yanaenda sababa nitafundisha kwa ushahidi wa maandiko Biblia inasemaje Nayekuandalia Somo hili na kuliwasilisha kwako  Naitwa Bishop Richard Ninaishi Morogoro Veta Dakawa Kutoka Kanisa la Moto Wa Yesu. 1:(a)KWA MKRISTO MWANAMKE HAPASWI KUVAA MAVAZI YA MWANAUME  Kama. Suruali,Pesi, nk Mwanamke anayevaa haya mbele za Mungu anakuwa mwenye dhambi kwa kuwa kashindwa kutii angizo au alivyoamriwa na NENO. (b)MWANAUME HATAKIWI AVAE NGUO ZA MWANAMKE  Kama Gauni,nk Mwanaume Yeyote mwenye kuvaa mavazi yampasayo avae mwanamke Yeye akavaa Tayari utakuwa mwenye dhambi mbele za Mungu umeshindwa kutii Neno lake ✍✍✍✍TUSOME  Kumbukumbu la Torati 22...

SOMO:UDHIBITISHO WA YESU KUFUFUKA

SOMO:UDHIBITISHO WA YESU KUFUFUKA. UTANGULIZI.  Kwanza Jiwe lilowekwa Kwenye Kaburi Lilikuwa Kubwa Sana Kiasi Kwamba Mtu asingelisogeza Lakini limesongezwa Walizi nao walikuwa na silaha kali za moto hawakuweza kuona Tukio hilo Kitu cha Kushangaza Sada inaonekana mtu aoenekani Hili ndiyo liloshutua wengi mpaka kuingia kaburini watazame kweli hayumo Kama Tunavyoshuhudia kaburi mtu aliyekufa akizikwa huwa ni ngumu Sana mtu kutoka Lakini Bwana Yesu Yupo huru Amefufuka. Naitwa Pastor Richard  Nipo Veta Dakawa Morogoro Nchini Tanzania  🇹🇿 Yohana 20:5 [5]Akainama na kuchungulia, akaona vitambaa vya sanda vimelala; lakini hakuingia.  Nakuletea udhibitisho huu wa Yesu yupo hai Tena 1:KWANZA KABURI LIPO TUPU 🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉 Thibitisho la kwanza la kufufuka kwa Yesu ni kaburi tupu. Ukweli kwamba kaburi la Yesu lilikuwa tupu siku tatu baada ya kufa kwake ni thibitisho kuu la kufufuka kwake. Waandishi wote wane wa Injili wanakubaliana kwamba kaburi la Kristo lilikuwa tup...