Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 27, 2021

SOMO: KIBURI NI CHUKIZO KWA MUNGU

SOMO;;KIBURI NI CHUKIZO KWA MUNGU PIA HUKUTENGA NA MUNGU KIACHE KIBURI HICHO. Tufunue Biblia Tusome Wote kwa Sauti Mithali;16;18๐Ÿ‘‰๐ŸฟZaburi:73;6๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ1Samwel;17;28๐Ÿ‘‰๐ŸฟLawi:25:19๐Ÿ‘‰๐ŸฟLuka:1:51๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ1Timoth:3;2 MUHUBIRI na Mwalimu Bishop Richard Yupo mtu Alikuwa Anateseka Kila mchumba akimpata akikaa nae mwaka tu anamuacha kwa Sababu ya kiburi Yupo Mtu mmoja alikuwa Anapesa akawa Amekuja Kuombewa Kanisani Kutokana na Mazingira Kanikuta naanza nasali kwenye mti Akasema Kanisa lako Pastor Richard liko wapi nikamuonesha Nasali hapa kwenye mti alikuwa Akiitaji mme Kutokana na Mtazamo aliokuwa nao hakuukuta akaishia Kutembea mbure Kutokana na Dharau au kiburi Wapo watu wengi Sana wanateswa na viburi vya chinichini Wazazi wameongea wewe Wachungaji wameongea Kutokana na Kuinuliwa Kidongo au Kupata Nafasi Kidongo imewafanya wamekuwa na Kiburi mpaka Kanisani Acha nikuambie Kiburi ni Kibaya Ndani mwako Hupaswi Ufunge Kiburi ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ Mithali 16:5 [5]Kila mwenye moyo wa kiburi ni chukizo kwa BWANA;...