Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 6, 2022

MAOMBI YA KUOMBA ASUBUHI UKIAMKA

MAOMBI YA KUOMBA ASUBUHI UKIAMKA Tembea na Bwana Katika Uaminifu  ••••°°°°°°••••••°°°°°•••••••°°••••••°°°°°••• 1:Nashukuru Baba umeachila Ulizi Kwangu Usiku Kucha Endelea Kunilinda Mchana Kutwa Katika Jina la Yesu. AMEN×3 2:Naibariki Siku Yangu Kwa Jina la Baba na La Mwana Na La Roho Mtakatifu Katika Jina la Yesu. AMEEN ×1 3:Nimebarikiwa mimi na familia yangu Yote Katika Jina la Yesu.AMEEN.×1 4:Bwana ni Nuru Yangu Kila Mipango iliyokuwa imefunga itamulikwa katika jina la Yesu. Amen×4 5;Natubu  Kila dhambi niliyokutenda nikaifanya kwa kujua hasa ya Wizi wa Zaka Kanisani Niondolee Dhambi hii maana imenitenga na Baraka Zako Katika Jina la Yesu. AMEN×5(OMBA KWA UNYENYEKEVU WA KUUGULIA MOYONI JUTIA DHAMBI YA WIZI WA ZAKA AU YA KUZINI)  . 6;Natamani Nishuhudie Ukinitendea Kama Wegine nipe moyo wa kuliishi Neno lako na sheria zako Nisizini tena Nisile zaka tena nisiwe mtu wa kutembea nawewe kwa mazoea ili unitendee kitu au kukutafuta nikiwa nashida tu ukishanijibu nakuacha au ku...