Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari 4, 2024

SOMO;MAOMBI YA UKOMBOZI WA MTU MWENYE H.I.V POSTIVE

SOMO:MAOMBI YA UKOMBOZI WA MTU MWENYE H.I.V  POSTIVE. Soma vitabu hivi kujua imani ilivyo Uponyaji wako utatengemea kiwango cha unavyoipandisha juu Imani yako Kupitia wezako kwenye Biblia walivyoponywa kwenye vitabu hivi hasa Luka 8. Warumi.10:17, Marko.4:14 Luka.8:40-56 👇👇👇👇👇👇👇 Mathayo 14:31 [31]Mara Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka?  ZINGATIA HAYA UNAPOOMBA HAYA MAOMBI.  👇👇👇👇👆👆👆👆👆👇👇👇👇 1.Uwe na Imani Kubwa Isiyokuwa na Hofu ndani yake unapoomba. Kama huna imani usiombe acha waombe wenye imani. Warumi;10:17 Mathayo:14:31 2.Utakuwa na Sadaka Yako Yenye Kiwango Sawa na Uzito wa Tatizo lako unavyoliona mwenyewe Kumbuka hii itaenda kuagusha Angano la Damu na Usijishushe Katika Eneo hili la Sadaka. Anza kiasi cha Sh.50000 kupanda juu Kama huna usiyaombe kwanza tulia ukipata utaomba Zaburi;20;3 Matendo:10:4 3.Utaomba Maombi Haya Usiku kwa muda Usiopishana Ndani Ya Siku 7 Mfululizo Na Tatizo litaanguk...