Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 7, 2020

Somo; UMEPANDIKIZIWA DHARAU NA LAWAMA

✍🏾✍🏾👏🏽SOMO; UMEPANDIKIZIWA DHARAU NA LAWAMA ZIONDOE LAWAMA NA DHARAU TU UTAPONA.✍🏾✍🏾 Nimatumaini Yangu Wanangu Wote Mpo Salama Kabisa Basi chukua Muda uombe Mungu nipe Ufahamu nifunguliwe na SoMo Hili Maana Masomo haya yaitaji msaada wa Roho Mtakatifu ili Uelewe Tatizo lilipo na uchukue hatua Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi Mathayo:12;7 Luka:6;37 Warumi:9;19 Wakolosai;3;13 Waebrania;8;8 Zaburi:31;11 na 74;10-18,38;1_5 Kaa kimya Dakika Tano kabla hujaendelea kusoma SoMo Hili Kisha Rudi uendeleee                               ✍🏾✍🏾🔥🔥 UTANGULIZI🔥👏🏽👏🏽 Ushuhuda wa Mtu aliyekuwa Anapenda Kila Kitu Kulaumu akawa anaumwa presha miguu kuumwa na Kisukari Miaka MINGI hiyo Hali ilikuwa ikimte...

Somo; UMEFICHWA Ufahamu wako

✍🏾✍🏾👏🏽SOMO: UMEFICHWA UFAHAMU WAKO USIELEWE KITU 👏🏽🙏🏽🙏🏽 Chukua Biblia Yako kabla sijaendelea Tusome; Hosea;13;14 Habakuki:3;4 Isaya:48;6 Yeremia;16;17 Wakolosai:1;26 Mathayo;10;26 Tafakari kabla ujaendelea mistari Soma Kisha tulia TU kimya Dakika Tano Ufahamu wako unaenda kufunguliwa Biblia uielewe na kuitafakari.               ✍🏾✍🏾👏🏽 UTANGULIZI 👏🏽🙏🏽🙏🏽 Ushuhuda wa Mtu aliyehesabiwa haki na Mungu Akiwa katika Kufa Nikiwa Katika Huduma ya kutembea mikoani Mimi Pastor Richard nilifika Tabora wiliya ya NZEGA Taarafa Ya ITOBO nikaifikia familia moja mtu  Mmoja alikuwa mgonjwa Sana  Mungu akawa Amenituma nifike hicho Kijiji Cha Ikindwa Nilipofika pale Sauti ya Mungu ikasema ingia nyumba ile uombe Maji ya kunywa Kisha uendelee na safa...