Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 28, 2023

SOMO:MAOMBI YA UKOMBOZI WA NYOTA

SOMO ;MAOMBI YA UKOMBOZI WA NYOTA YAKO  UTANGULIZI : Karibu Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa  Tulia usome kisha tuombe wote tukomboe nyota zetu. Fatana nami katika  Somo hili Ujifunze uelewe nyota kibiblia. Kila mtu huwa amezaliwa na nyota yake kabisa isipokuwa katika kuishi watu wengi hujichanganya kwenda kwa waganga na kuanza kushiriki vitu vya kiganga au kuchanjwa chali kama watoto hawakufanya wazazi inawezekana walienda kwa waganga. NYOTA; huchukuliwa katika mazingira yafatayo  -Kwenda kwa waganga  -Kuishi maisha yakuzini unatubu unaridia kuzini -Dhambi ya uasi huharibu haraka nyota yako .UDHIBITISHO WA DHAMBI  Mwanzo 3:9 [9]BWANA Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?  Dhambi ilisababisha uhusiano wa Adamu na Mungu kutoweka kuna kitu ndani ya Adamu kiliondoka. Nyota ya kuonekana ikapotea ndiyo maana Mungu anauliza upo wapi Adamu.  MAANA YA NYOTA; NYOTA: Ni utambulisho wa wewe ni nani katika maisha haya hatima yako ni ipi K...