MAOMBI YA KUOMBEA WANAO WANAPOKUWA WANAENDA SHULE.
SOMO:MAOMBI YA KUWAOMBEA WATOTO WETU WANAOSOMA. 👆👆👆👆✅✅✅✅🌴🌴👇🌴👇👇👇👇👇 Adui huwa yupo macho sana kufatilia watoto wetu hasa tunaowasomesha Nasikia Sauti na Maelekezo niongoze kukufundisha Maombi haya kila mzazi aajibike kuombea watoto uwe mama mdogo mama mkubwa Mjomba Babu bibi na unakaa na watoto wanaosoma Tafadhali Simama nafasi yakuwa unawaombea kila Wanaporudi shuleni au Kufungua shule au Kwenda shule. MSTARI WA KUKUMBUKWA TUNAPOOMBA. 👇👇👇👇👇👇👇👇👇 Kumbukumbu la Torati 12:28 [28]Maneno haya nikuagizayo yote yatunze na kuyasikiza, ili upate kufanikiwa na watoto wako baada yako milele, hapo uyafanyapo yaliyo mema na kuelekea machoni pa BWANA, Mungu wako. Mambo matatu uyajue kabla hujaomba. 1.Unakuwa unatimiza angizo la Mungu unapoombea watoto wako. 2.Unawajenga Kiroho na Kimwili hata wakija kuwa na familia zao baadae 3.Unafungulia Mlango wa Wao Kufanikiwa Katika Masomo Yao. MAOMBI YATANZIGATIA YAFATAYO. 1.Uwe unakaa na Watoto wanaosoma tayari wewe ni mzazi uta...