Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 10, 2023

SOMO; MAOMBI YA KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE ROHO YA KUCHELEWESHWA.

SOMO; MAOMBI YA KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE ROHO YA KUCHELEWESHWA. Habari mtu wa Mungu nataka niongee leo na watu wote kwamba katika maisha tunayoishi yaitaji tuombe sana na kujifunza Neno la Mungu pia tunatamani maisha Yetu yawe ya viwango tunatamani kuowa na kuolewa zipo roho kazi yake nikuchelewesha muda wetu wakufikia kwa haraka eneo Mungu alipotuandalia ni lazima Tuombe Kuzikataa. Karibu ugana nami katika maombi haya kwenda kushughulikia roho ya kucheleweshwa Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa  nifate WhatsApp +255759861768 MISITARI YA KUSIMAMA NAYO. 👇👇👇👇👇 Yoeli : 2 : 25 -  Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu. 👇👇👇👇👇👇👇 Hesabu : 23 : 23 -  Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu! 👇👇👇👇👇👇👇 Yeremia 29:14 [14]Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA, nami ...