SOMO: WAJIBU WA MTUMISHI WA MUNGU NI KUWAFUNDISHA WATU
✍️SOMO: ✍️WAJIBU NA JUKUMU KUU LA MTUMISHI WA MUNGU.✍️ Tufunue. Biblia 1Timotheo sura ya:4'na 5 Soma Yote Kisha TAFAKARI Neno Ukishasoma Mistari hiyo. Kuna Wakati Watumishi wanapaswa wakumbushwe Kazi Kuu waliyoitiwa ndani Yao na wajue wajibu wao kwa washirika wao Hata Kondoo wao Pia Na Watoto (waumini )wanapaswa wajue wajibu wao Wanapaswa wafundishwe nakuelekezwa wapaswayo Kufanya na Jinsi yakusimama wao wenyewe Kutatua Matatizo na Kukua kiroho"Ni wajibu wako mshirika kupenda Mafundisho na Kufanyia kazi. Lengo La SoMo; Kuwakumbusha Watumishi wajibu wao na wanafunzi wajibu wao Dhima Yetu MOTO WA YESU; Kuadaa Watumishi wenye nguvu ya kiroho Na Hofu ya Mungu. WAJIBU WA MTUMISHI NDIO NINI,,? Ni Hali inayomfanya Mtumishi ajue kusundi la Mungu ndani yake Nini Ili Kumsaidia Asikengeuke au Kupotosha Kundi au Kondoo Kuwatawanyisha. KUNA WAJIBU AU KAZI MBILI TU ALIOPEWA MTUMISHI WA MUNGU 1;WAJIBU WAKE WA KWANZA; KUFUNDISHA KUNDI. Mtumishi an...