Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari 24, 2016

USHUHUDAA WA MME MWEMA NA MKE MWEMA.2016 MORONGORO

MWAKA HUU MUNGU KAANZA KWA KUONYESHA MKE MWEMA NA MME MWEMA ANAVYOWAUGANISHA MWANAMME ALIKUWA MORO MKE ALIKUWA IRINGA SAFARI YA WALIVYOKUTANA mwanamme anaphamancy yake moro mwanamke akaambiwa kuna kazi ya kuuza duka la dawa na huko alikuwa anauza phamancy akaasems acha niende moro kijana akiwa amajisemea ukiniletea bint mungu wangu huyo ndio atakuwa mke wangu bint alifika salama moro kijana akamuona bint akasema moyoni huyu ndie mke wangu bint akatokea kumpenda kijana kama kaka yake miez ikaenda kijana akaanza kumweleza binti awe mke wake bint alimwambia mimi ninamchumba na kweli alikuwa anamchumba ALIVYOONGONZWA NA MUNGU MPAKA KWA PASTOR RICHARD NAILIVYOUNGANISHWA JINA LA BINT NA MCH. siku moja aliingia internent akakutana na shuhuda zangu chini niliacha namba akachukua akanipingia nikapokea akaniambia nimekuwa nikidhulimiwa  kila napo kopesha saa ingne wati wananiahid tu baba naomba uniombee nipate mme mwema nilimuongoza toba nikamwambia baba nijulishe juu ya bint...

DHAMBI INAMTENGA MTU NA USO WA MUNGU WARUMI:3-23

DHAMBI NI NINI? ni uasi  au kwenda kinyume na sheria ya mungu. KUNA SEHEMU KUU MBILI YA DHAMBI. -DHAMBI YA KUKUSUNDIA. -DHAMBI YA KUTOKUSUNDIA DHAMBI YA KUKUSUNDIA  NDIO IKONJE. ሸi dhambi unayoifanya kwa kujua kabisa hapa namkosea mungu lakini bado uachi. DHAMBI HII INAMADHARA GANI -inakutenga mbali na utuku wa mungu -inakuletea maradhi na matatizo mengi -unakufa kifo cha mateso -unakuwa mlango wa shetani kukutesea -unakuwa mtu usiyejijua katika matendo yako. -kamwe uwezi kuingi mbiguni -utachomwa moto na kuhukumiwa kifo cha haraka maana anaona akikuacha uishi utaendelea na uovu anaona tu akuchukue mapema. FAINDA YA KUEPUKA DHAMBI -unaishi maisha marefu. -maradhi kwako hayatakuwepo -ukitaka kufa mungu anakujulisha unaacha ratiba vizuri. -utaomba na kupanga na kulaani kuhukumu na itakuwa ivyo. -unachukia dhambi -roho wa mungu anakaa nawe -utaandaliwa makao pa nzuri baads ya kifo -shetani na njeshi lake hawatkungusa MAAMUZI NI YAKO SASA ...