SOMO:NJEGA Misingi YAKO ILIYOHARIBIWA NA UFALME wa NGIZA
✍🏾✍🏾SOMO;HARIBU MISINGI MAADUI ZAKO YOTE✍🏾✍🏾✍🏾 Vitabu;Mathayo:7:25 Luka:6;45 Matendo:16:26 Waebrania;4;3 Isaya;54;11 Karibuni Katika SoMo Hili Wanangu Naitwa Pastor Richard SoMo Hili nikiwa Nakuletea Lengo kuu la SoMo; Kufichua ufalme wa ngiza ulioharibu Misingi yako Iliyojenga Mateso Kupitia Misingi mibovu na Kujenga Msingi imara uliosimama imara. Misingi Ni Nini? Ni Kile kinachoshikilia ukuta au kusimamisha nyumba Nzima hiyo kimwili lakini Kiroho ni kitu kinachoshikilia imani yako na kukujengea udhaifu wa Kuamini uweza wa Mungu pia Misingi Ni Tabia inayoweza kuendesha maisha yako nakukuongoza kutatua kitu. Katika Uharibifu majeshi ya mapepo na wachawi hujenga Misingi Yake pale yanapoingia ili kuufanya mwili wako uwe Na Tatizo Hujenga Misingi ya Hofu woga ambayo Hufanya uhabifu wa maisha yako kwa ujumla Hujenga magonjwa mateso nk ambayo huwa misingi ya uharibifu wa Afya yako chazo Ni majeshi au Tabia Hujenga Misingi mibovu ya Tabia yako yenye kukuendesha nakukufanya...