SOMO;WATII WANAOTUONGOZA KIROHO/KIMWILI
✍️✍️✍️SOMO: WATIINI WANAOWAONGOZA MSIWAPUUZIE NAKUWADHARAU. Wabrania:13;10----18:(mstari;17 🎈🎈UTANGULIZI🎈🎈 Tunapaswa Kuwatii Viongozi Wetu wanaotuongoza Kiroho na Kimwili kwa Sababu Wapo hapo kwa Niaba Ya Mungu Baba Aliyeketi katika kiti Cha enzi. Tunapaswa Kutii Viongozi wetu Tunapaswa kuwaheshimu wanaokesha kutusaindia kutuongoza katika njia Sahihi. Mungu Yupo Yeye Kiongozi Mkuu AMBAYE katika uongozi wake hajawahi Kuzidiwa kitu kukitatua. Viongozi wa damu na nyama watak Naubarikiwe Naitwa Pastor Richard Napatikana Morogoro Veta Dakawa ✍️✍️FAIDA YA KUTII KIONGOZI WAKO WA KIROHO/Kimwili✍️✍️ 1:Utakuwa Umepona Kiroho na Kimwili 2:Utavuka katika Vita vingi vya Kiroho 3:Mungu atakuhudumia kwa viwango vya juu. 4;Utafanikiwa Kila Jambo kwa haraka Sana 5;Utakuwa umemtii Mungu nakumfata Mungu Maana Yupo kwa Niaba ya M...