SEMINA ✍️ KUFUNGULIWA NA KUFUNGWA
SEMINA ✍️ KUFUNGULIWA NA KUFUNGWA Zaburi:107:14-20 Matendo:16:25---30 YALIYOMO 1:MAANA YA KUFUNGWA NA KUFUNGULIWA 2: SEHEMU TATU ZINAZO MFUNGA MTU NA KUMFUNGUA 3:WANAOTEKELEZA KUKUFUNGA NA KUKUFUNGUA 4: UMHIMU 5:JINSI YA KUTUNZA 6: HITIMISHO 2: SEHEMU 3 ZA KUFUNGULIWA Kuna sehemu tatu za mtu kufunguliwa na maisha ya Mtu Kuwa huru 1;SEHEMU YA KWANZA; MWILI Mwili ni sehemu inayojumuisha viungo Vyote vya Mwanadamu 1;Milango ya Ufahamu 2;Milango ya taka mwili 3:Viungo vya mwili Kwa Neno la pamoja tunaita mwili. Adui huweza kuushambulia mwili kwa 1:Magonjwa 2: Ufahamu Akili kufungwa. Mtu ili awe huru hutakiwa afunguliwe mwili wake kwaza. Mambo yatakayokufanya mwili wako uwe vizuri. 1;Kupumzika hakikisha unalala. 2:Fanya Mazoezi 3:Usafi wa Mwili wako 4;Kula 5:Usiupe mwili wako Kazi ngumu Sana Zinazoufanya mwili ushindwe kukupa Taarifa ya kupaga mipago nakufikiri. 6;Ibada uzieshe Mambo ya ibada na Mungu. MAMBO YANAYOWEZA KUUFANYA MWILI WAKO UKAFUNGWA 1...