Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 8, 2023

SOMO : MAOMBI YA UKOMBOZI WA TABIA.

SOMO: UKOMBOZI WA MAOMBI YA TABIA. Unajua Kuna Watu wateswa na tabia kiasi kwamba hata kuowa hawaowi kuolewa hawaolewi kutokana na tabia zao hata iwe ofisini makazini tabia inawagombanisha na watu na saa nyigine wamekosa msaada hata mtu aseme awasaindie Kwa Tabia zao anaweza Jutia. Nataka Niseme unaweza ukawa unaona kawaida Sana kumbe roho chafu roho za kipepo zinakuopareti kupitia Tabia na unabaki kuwa mtumwa wa shetani. Kubali Leo hii ujikomboe ili ukamuone Mungu akitenda kwako. Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  WhatsApp niinbox +255759861768 MAANA YA TABIA..? Tabia ni Mwenendo wa kitu. Kinachokitambulisha kitu juu ya anayekiona. Ambapo huu mwenendo hutengeneza utambulisho wa kitu kukijua mfano Silika ambapo viumbe vyote isipokuwa mwanadamu. Vinasilika yake ukiona mbwa tabia zake zinakujulisha ukiona mahindi tabia zake zinakujulisha. Mwanadamu huongozwa na Utashi wake wa kujua njema na mbaya kwa mtu mwenye tabia mbaya tunasema muovu kwa mtu mwenye tabia nzuri...